\v=16 \v~=Kisha kila mtu akakamatana na mpinzani wake kichwani na kuchomana kwa upanga, nao wakaanguka chini pamoja. Kwa hiyo mahali pale katika Gibeoni pakaitwa Helkath-Hasurimu.\f + \fr 2:16 \ft Helkath-Hasurimu maana yake Uwanja wa Mapambano.\f* \¬v \¬p