\v=19 \v~=Asaheli akamfukuza Abneri, pasipo kugeuka kulia wala kushoto wakati akimfuata. \¬v