\v=5 \v~=akatuma wajumbe kwa watu wa Yabeshi-Gileadi kuwaambia, “\nd Bwana\nd* awabariki kwa kuonyesha wema huu kwa kumzika Sauli bwana wenu. \¬v