\v=18 \v~=Sasa fanyeni hivyo! Kwa maana \nd Bwana\nd* alimwahidi Daudi akisema, ‘Kwa kupitia Daudi mtumishi wangu nitawaokoa watu wangu Israeli kutoka mikononi mwa Wafilisti na kutoka mikononi mwa adui zako wote.’ ” \¬v \¬p