\p \v=28 \v~=Baadaye, Daudi aliposikia kuhusu jambo hili, akasema, “Mimi na ufalme wangu kamwe hatuna hatia mbele za \nd Bwana\nd* kuhusu damu ya Abneri mwana wa Neri. \¬v