\v=8 \v~=Wakamletea Daudi kichwa cha Ish-Boshethi huko Hebroni, wakamwambia mfalme, “Hiki hapa kichwa cha Ish-Boshethi mwana wa Sauli, adui yako, aliyejaribu kuondoa uhai wako. Siku hii ya leo \nd Bwana\nd* amemlipia kisasi mfalme bwana wangu dhidi ya Sauli na mzao wake.” \¬v \¬p