\p \v=9 \v~=Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni, Mbeerothi, akasema, “Hakika kama \nd Bwana\nd* aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka taabu zote, \¬v