\v=12 \v~=Naye Daudi akafahamu kuwa \nd Bwana\nd* amemwimarisha kuwa mfalme juu ya Israeli na ameinua ufalme wake kwa ajili ya Israeli, watu wake. \¬v \¬p