\p \v=22 \v~=Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai. \¬v