\v=23 \v~=Kwa hiyo Daudi akamuuliza \nd Bwana\nd*, naye akamjibu, “Usipande moja kwa moja, bali wazungukie kwa nyuma na uwashambulie mbele ya miti ya miforosadi. \¬v