\v=25 \v~=Basi Daudi akafanya kama \nd Bwana\nd* alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba\f + \fr 5:25 \ft Kwa Kiebrania mji huu uliitwa Gibeoni (ona \+xt 1Nya 14:16\+xt*).\f* hadi Gezeri. \¬v \¬p \¬c