\p \v=3 \v~=Wazee wote wa Israeli wakamwendea Mfalme Daudi huko Hebroni, mfalme akafanya mapatano nao huko Hebroni mbele za \nd Bwana\nd*, nao wakamtia Daudi mafuta kuwa mfalme wa Israeli. \¬v \¬p