\p \v=9 \v~=Ndipo Daudi akafanya makao ndani ya ngome na kuiita Mji wa Daudi. Akajenga eneo linalozunguka kuanzia Milo\f + \fr 5:9 \ft Milo maana yake Boma la Ngome.\f* kuelekea ndani. \¬v