\v=10 \v~=Hakuwa radhi kulichukua Sanduku la \nd Bwana\nd* kwake katika Mji wa Daudi. Badala yake akalipeleka kwenye nyumba ya Obed-Edomu, Mgiti. \¬v