\p \v=16 \v~=Ikawa Sanduku la \nd Bwana\nd* lilipokuwa linaingia katika Mji wa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani. Naye alipomwona Mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele za \nd Bwana\nd*, akamdharau moyoni mwake. \¬v \¬p