\p \v=17 \v~=Wakaleta Sanduku la \nd Bwana\nd* na kuliweka mahali pake ndani ya hema ambalo Daudi alikuwa amelisimamisha kwa ajili yake, naye Daudi akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v