\v=18 \v~=Baada ya kumaliza kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, Daudi akawabariki watu katika jina la \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v