\p \v=21 \v~=Daudi akamwambia Mikali, “Nilifanya hivyo mbele za \nd Bwana\nd* ambaye alinichagua mimi badala ya baba yako au mwingine yeyote kutoka nyumba yake wakati aliponiweka niwe mtawala juu ya Israeli, watu wa \nd Bwana\nd*. Kwa hiyo nitacheza mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v