\v=7 \v~=Hasira ya \nd Bwana\nd* ikawaka dhidi ya Uza kwa sababu ya kitendo chake cha kukosa heshima, kwa hiyo Mungu akampiga akafia papo hapo kando ya Sanduku la Mungu. \¬v \¬p