\p \v=8 \v~=Ndipo Daudi akakasirika kwa sababu ghadhabu ya \nd Bwana\nd* ilifurika dhidi ya Uza, hivyo hadi leo mahali hapo panaitwa Peres-Uza. \¬v \¬p