\v=19 \v~=Naam, kana kwamba hili halitoshi machoni pako, Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, wewe umenena pia kuhusu siku zijazo za nyumba ya mtumishi wako. Je, hii ndiyo njia yako ya kawaida ya kushughulika na mwanadamu, Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi? \¬v \¬pm