\v=26 \v~=ili kwamba jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘\nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako. \¬v \¬pm