\p \v=3 \v~=Nathani akamjibu mfalme, “Lolote ulilo nalo moyoni, endelea ukalifanye, kwa maana \nd Bwana\nd* yu pamoja nawe.” \¬v \¬p