\pm \v=5 \v~=“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake? \¬v