\pm \v=8 \v~=“Sasa basi, mwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: Nilikutoa wewe kutoka machungani na kutoka kuandama kundi la kondoo na mbuzi ili kuwaongoza watu wangu Israeli. \¬v