\p \v=11 \v~=Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa \nd Bwana\nd*, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda: \¬v