\p \v=14 \v~=Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. \nd Bwana\nd* alimpatia Daudi ushindi kila alipokwenda. \¬v \¬p