\v=6 \v~=Daudi akaweka askari walinzi katika ufalme wa Waaramu huko Dameski, nao Waaramu wakawa watumwa wake na kumlipa ushuru. \nd Bwana\nd* akampa Daudi ushindi kote alipokwenda. \¬v \¬p