\v=8 \v~=Kutoka miji ya Beta\f + \fr 8:8 \ft Beta ulikuwa mji wa Aramu-Soba ambao uliitwa Teba kwa Kiaramu; pia uliitwa Tibhathi (\+xt 1Nya 18:8\+xt*).\f* na Berothai, iliyokuwa miji ya Hadadezeri, Mfalme Daudi akatwaa shaba nyingi sana. \¬v \¬p