\p \v=8 \v~=Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana. \¬v \¬p