\p \v=15 \v~=Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene. \¬v \¬p