\p \v=13 \v~=Naye \nd Bwana\nd* akaniambia, “Mtupie mfinyanzi,” hiyo bei nzuri waliyonithaminia! Kwa hiyo nikachukua hivyo vipande thelathini vya fedha na kumtupia huyo mfinyanzi katika nyumba ya \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p