\v=6 \v~=Kwa kuwa sitawahurumia tena watu wa nchi,” asema \nd Bwana\nd*. “Nitawakabidhi kila mtu mkononi mwa jirani yake na mfalme wake. Wataitenda jeuri nchi, nami sitawaokoa kutoka mikononi mwao.” \¬v \¬p