\v=3 \v~=Ikiwa yupo yeyote atakayeendelea kutabiri, baba yake na mama yake waliomzaa watamwambia, ‘Ni lazima ufe, kwa sababu umesema uongo kwa jina la \nd Bwana\nd*.’ Atakapotabiri, wazazi wake mwenyewe watampasua tumbo. \¬v \¬p