\p \v=16 \v~=Kisha walionusurika katika mataifa yote ambayo yaliushambulia Yerusalemu watakuwa wakipanda Yerusalemu kila mwaka kumwabudu Mfalme, \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote na kuadhimisha Sikukuu ya Vibanda. \¬v