\v=18 \v~=Ikiwa watu wa Misri nao hawatakwenda kushiriki, hawatapata mvua. \nd Bwana\nd* ataleta juu yao tauni ile ambayo itawapiga mataifa yale ambayo hayatakwenda kuadhimisha Sikukuu ya Vibanda. \¬v