\v=21 \v~=Kila chungu kilichoko Yerusalemu na Yuda kitakuwa kitakatifu kwa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote na wote wanaokuja kutoa dhabihu watachukua baadhi ya vyungu hivyo na kupikia. Katika siku hiyo hatakuwepo tena mfanyabiashara katika nyumba ya \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote. \¬v \¬p \¬c \¬chapters