\p \v=3 \v~=Kisha \nd Bwana\nd* atatoka na kupigana dhidi ya watu wa yale mataifa, kama apiganavyo siku ya vita. \¬v