\v=5 \v~=Nanyi mtakimbia kupitia katika bonde hilo la mlima wangu kwa kuwa litaenea hadi Aseli. Mtakimbia kama mlivyokimbia tetemeko la ardhi katika siku za Uzia mfalme wa Yuda. Kisha \nd Bwana\nd* Mungu wangu atakuja na watakatifu wote pamoja naye. \¬v \¬p