\p \v=8 \v~=Siku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki,\f + \fr 14:8 \ft Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu.\f* na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi\f + \fr 14:8 \ft Yaani Bahari ya Mediterania.\f* wakati wa kiangazi na wakati wa masika. \¬v \¬p