\p \v=9 \v~=\nd Bwana\nd* atakuwa mfalme juu ya dunia yote. Katika siku hiyo atakuwepo \nd Bwana\nd* mmoja na jina lake litakuwa jina pekee. \¬v \¬p