\p \v=10 \v~=Kisha yule mtu aliyesimama katikati ya miti ya mihadasi akaeleza, “Ni wale ambao \nd Bwana\nd* amewatuma waende duniani kote.” \¬v \¬p