\p \v=11 \v~=Nao wakatoa taarifa kwa yule malaika wa \nd Bwana\nd*, aliyekuwa amesimama katikati ya miti ya mihadasi, “Tumepita duniani kote na kukuta ulimwengu wote umepumzika kwa amani.” \¬v \¬p