\p \v=12 \v~=Kisha malaika wa \nd Bwana\nd* akasema, “\nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, utazuia mpaka lini rehema kutoka Yerusalemu na miji ya Yuda, ambayo umeikasirikia kwa miaka hii sabini?” \¬v