\v=4 \v~=Msiwe kama baba zenu, ambao manabii waliotangulia waliwatangazia: Hivi ndivyo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote asemavyo: ‘Geukeni, mziache njia zenu mbaya na matendo yenu maovu.’ Lakini hawakunisikiliza wala kufuata maelekezo yangu, asema \nd Bwana\nd*. \¬v