\p \v=10 \v~=“Piga kelele na ufurahie, ee Binti Sayuni, kwa maana ninakuja, nami nitaishi miongoni mwenu,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v