\p \v=6 \v~=“Njooni! Njooni! Kimbieni mtoke katika nchi ya kaskazini,” asema \nd Bwana\nd*, “Kwa kuwa nimewatawanya kwenye pande nne za mbingu,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p