\v=8 \v~=Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: “Baada ya yeye kuniheshimu na kunituma mimi dhidi ya mataifa yaliyokuteka nyara, kwa kuwa yeyote awagusaye ninyi, anaigusa mboni ya jicho lake, \¬v