\p \v=5 \v~=Kisha nikasema, “Mvike kilemba kilicho safi kichwani mwake.” Kwa hiyo wakamvika kilemba safi kichwani na kumvika yale mavazi mengine, wakati malaika wa \nd Bwana\nd* akiwa amesimama karibu. \¬v \¬p