\v=9 \v~=“Mikono ya Zerubabeli iliweka msingi wa Hekalu hili, mikono yake pia italimalizia. Kisha mtajua ya kuwa \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote amenituma mimi kwenu. \¬v \¬p